Home > 2017 > June

Taarifa Ya Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) Iliyotolewa Leo Juni 30,2017 Upanga, Dar es salaam.

  VMM/C.10/41Vol.II/9   30/06/2017 TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI IJUMAA JUNI 30, 2017. Itakumbukwa kuwa kuanzia mwezi wa April, 2017 Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake kilianza mchakato wa kutoa Fomu za kugombea nafasi mbali mbali kwa wanachama wake kwa kipindi cha 2017 – 2022. Ofisi ya Katibu Mkuu wa

Soma zaidi

Taarifa:Majambazi Wanne Wauwawa Kijiji Cha Pagae Kibiti Katika Mapambano Na Askari Yapatikana Na Silaha Mbili Aina Ya SMG Na Risasi17.

Jeshi la Polisi Tanzania mnamo tarehe 29/06/2017 saa tatu kamili usiku huko katika kijiji cha PAGAE wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani, kwenye barabara inayotoka Pagae kuelekea Nyambunda. Askari Polisi wakiwa doria walikutana na kikundi cha watu kinachokadiriwa kuwa na watu sita wakitokea barabara kuu ya lami wakifuata barabara hiyo inayoelekea

Soma zaidi

Taarifa Iliyotolewa Na UVCCM Kuhusu Maoni Ya Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Pili Mzee A.H.Mwinyi 

VMM/U.80/8/Vol.I/62                  30/06/2017 TAARIFA ILIYOTOLEWA NA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI, IJUMAA30 JUNI 2017 UVCCM UPANGA, DAR ES SALAAM Ndugu Waandishi wa Habari, Kwa heshima kubwa tunawashukuru kwa dhati na kwa uungwana wenu wa kuitikia wito wetu wa kuwaomba  kuhudhuria mkutano wetu huu  ili kuzumgumza nanyi kama ilivyo ada na kawaida

Soma zaidi