Home > 2017 > August

Anza Ya Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Dkt Magufuli Kwa Kampuni Ya IPTL Yatimia.

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imekataa kuiongezea muda wa leseni Kampuni ya kufua umeme wa Independent Power Tanzania Limited (IPTL) baada ya leseni yake ya kuzalisha umeme kumalizika muda wake. Agosti 30 mwaka huu kupitia taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari, Bodi

Soma zaidi

Wakazi Wa Shinyanga Na Geita Kunufaika Na Uwekezaji Mradi Wa Umeme.

Kampuni ya Acacia, kwa ushirikiano na TANESCO, imejenga kituo cha kupozea umeme kilichopo katika mgodi wake wa dhahabu wa Bulyanhulu ambacho kimeweza kuongeza uhakika wa upatikanaji wa umeme katika maeneo ya mgodi huo. Acacia imewekeza shilingi bilioni 5.5 katika mradi huo ambao utanufaisha maeneo yanayozunguka migodi ya Buzwagi na Bulyanhulu na

Soma zaidi

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg,Rodrick Mpogoro Afungua Mafunzo Elekezi Kwa Makatibu Wa UVCCM Mikoa Ya Tanzania Bara Na Visiwani.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Bara Ndg,Rodrick Mpogoro akifungua Mafunzo elekezi kwa makatibu wa Umoja wa Vijana wa CCM mikoa ya Tanzania bara na Visiwani katika ukumbi wa kamati kuu ofisi ndogo ya Ccm Lumumba dar es salaam. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana na mjumbe wa kamati kuu  ya

Soma zaidi