Thursday, September 21, 2017
Home > CCM > Katibu Mkuu Wa CCM Ndg Kinana Awaambia Ukweli Wanaosema Magufuli Anakosoa Serikali Zilizopita.

Katibu Mkuu Wa CCM Ndg Kinana Awaambia Ukweli Wanaosema Magufuli Anakosoa Serikali Zilizopita.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Comrade Abdulrahman Kinana akiwa katika eneo la Mkanyageni Mkoani Tanga amewajia juu  na kuwaambia ukweli watu wanaosema kwamba Rais Dkt John Pombe Magufuli anakosoa Serikali zilizopita. Comred Kinana amesema kwamba sio dhambi kwa Rais Magufuli kufanya hivyo.
“Kuna Watu Wanalalamika ! Eti Magufuli anakosoa Serikali zilizo Pita, Serikali zilizopita zilikua za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali iliyopo ni ya CCM Anayekosoa ni MwanaCCM kuna ubaya gani kwa mwanaCCM kurekebisha yaliyo haribiwa na mwanaCCM?alisema Katibu Mkuu wa CCM Comrade A.Kinana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *