Home > Bunge

Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Lapitisha Miswada ya Sheria Za Ulinzi wa Maliasili za Taifa

Bunge limepitisha Miswada ya Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na Umiliki wa Rasilimali na Maliasili ya mwaka 2017 na Sheria ya Mapitio na Majadiliano kuhusu Masharti Hasi katika Mikataba inayohousu Rasilimali na Maliasili za Nchi ya mwaka 2017. Miswada hiyo iliyoletwa Bungeni kwa Hati ya Dharura iliwasilishwa Bungeni na Waziri

Soma zaidi