Home > CCM

UVCCM: Ni Heri Serikali Ikose Mapato Kuliko Kuendelea Kunyonywa.

Na Mwandishi wetu Dodoma Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) umempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe Dkt John Pombe Magufuli kwa hatua anazozichukua dhidi ya wabadhilifu Mali za umma kwani wamepelekea Taifa kuingia katika hasara kubwa. UVCCM imesema kuwa watanzania wanapaswa

Soma zaidi