Home > Jamii (Page 2)

LHRC Yatoa Tamko Kuhusu Adhabu Ya Kifo

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Rais John Magufuli kuanzisha mchakato wa kuifanyia marekebisho sheria inayotoa adhabu ya kifo. Akizungumza leo Jumanne, Mkurugenzi wa LHRC, Dk Hellen Kijo-Bisimba amesema wamefurahishwa na kauli ya Rais Magufuli kwamba hawezi kusaini hukumu ya kifo. Rais Magufuli alionyesha kutofurahishwa na adhabu hiyo jana

Soma zaidi