Home > Jamii (Page 21)

Taarifa Ya Mamlaka Ya Chakula Na Dawa(TFDA) Kuhusu Mchele Unaotengenezwa Kwa Kutumia Plastiki.

Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuwa umeanza kutumiwa na baadhi ya mamalishe jijini Dar es Salaaam. Baada ya picha hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikielezea mchele

Soma zaidi

Uwanja wa Namfua kutoa ahueni kwa Wanasingida

Uwanja wa NAmfua uliopo Manispaa ya Singida ambao ukarabati wake umefikia hatua ya kuridhisha umeanza kutoa matumaini kwa wananchi wa Mkoa wa Singida ambao wamekuwa wakifuatilia kwa karibu ukarabati wake. Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi akiwa na Mkuu wa Usalama wa Taifa wa Mkoa wa Singida wamefanya ziara

Soma zaidi