Home > Matukio

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Azindua Barabara Ya Kilomita 26 Kuanzia KIA hadi Mererani Manyara Mkoa wa Manyara Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa kwa furaha na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera alipowasili kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba

Soma zaidi

Rais Mhe. Dkt Magufuli Aelekea Mkoani Arusha Kwa Ziara Ya Kikazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 20 Septemba, 2017 ameondoka jijini Dar Es salaam kuelekea mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi. Mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro KIA,Rais Dkt. Magufuli ataanza ziara yake Mkoani Manyara kwa kufungua

Soma zaidi

LHRC Yatoa Tamko Kuhusu Adhabu Ya Kifo

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimemtaka Rais John Magufuli kuanzisha mchakato wa kuifanyia marekebisho sheria inayotoa adhabu ya kifo. Akizungumza leo Jumanne, Mkurugenzi wa LHRC, Dk Hellen Kijo-Bisimba amesema wamefurahishwa na kauli ya Rais Magufuli kwamba hawezi kusaini hukumu ya kifo. Rais Magufuli alionyesha kutofurahishwa na adhabu hiyo jana

Soma zaidi