Home > Serikali

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Azindua Barabara Ya Kilomita 26 Kuanzia KIA hadi Mererani Manyara Mkoa wa Manyara Leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akilakiwa kwa furaha na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe. Joel Bendera alipowasili kuzindua barabara ya lami ya kilomita 26 kutoka Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa kilimanjaro (KIA) katika mkoa wa Kilimanjaro hadi Mererani mkoani Manyara leo Septemba

Soma zaidi

Kaimu Katibu Mkuu Shaka H.Shaka Azungumzia Maendeleo Ya Uchaguzi Wa Ndani UVCCM.

Ndugu Waandishi wa habari; Kwa mara nyingine tena tunawakaribisha kwa mikono miwili katika mkutano huu muhimu. Karibuni sana huku nikiwaomba  mjione mko huru na mko nyumbani . Dhana ya Demokrasia ni jambo muhimu linalohitaji kuheshimiwa na kuenziwa ndani ya Chama na  Jumuiya zake. Kiongozi wa UVCCM mahali popote pale huchaguliwa kwa kufanyika

Soma zaidi

Dkt.Kalemani Aitaka Tanesco Kuunganisha Nguvu Kukamilisha Miradi Ya Umeme Ya Kurasini Na Kimbiji.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini Dkt. Medard Kalemani, amelitaka Shirika la Umeme Tanzania TANESCO kuunganisha nguvu ili kuhakikisha wanakamilisha mradi wa Ujenzi wa kituo cha kupoza na kusamabaza umeme kinachotarajiwa kujengwa huko Kimbiji wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam. Dkt. Kalemani ametoa maelekezo hayo , wakati alipofanya ziara kukagua miradi

Soma zaidi