Home > Uchaguzi

Kaimu Katibu Mkuu Shaka H.Shaka Azungumzia Maendeleo Ya Uchaguzi Wa Ndani UVCCM.

Ndugu Waandishi wa habari; Kwa mara nyingine tena tunawakaribisha kwa mikono miwili katika mkutano huu muhimu. Karibuni sana huku nikiwaomba  mjione mko huru na mko nyumbani . Dhana ya Demokrasia ni jambo muhimu linalohitaji kuheshimiwa na kuenziwa ndani ya Chama na  Jumuiya zake. Kiongozi wa UVCCM mahali popote pale huchaguliwa kwa kufanyika

Soma zaidi

Katibu Mkuu Wa CCM Kinana Apiga Marufuku Wagombea Kuuziwa Fomu Za Uchaguzi Kwa Ngazi Zote Za Uongozi Ndani Ya Chama.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana amepiga marufuku uuzaji wa fomu za uchaguzi kwa ngazi zote za uongozi ndani ya Chama Cha Mapinduzi(CCM). Taarifa iliyosainiwa na Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Rodrick Mpogolo kwenda kwa Makatibu Wakuu wa Jumuiya imeeleza kuwa kwa mwanachama yeyote aliyeuziwa fomu arejeshewe pesa

Soma zaidi