Home > Uchambuzi

Tamko La Kamati Ya Utekelezaji Ya Baraza Kuu La UWT Kilichofanyika Tarehe18/07/2017.

Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT imefanya kikao chake cha Kikatiba tarehe 18/07/2017, ambapo pamoja na mambo mengine ilijadili agenda mbalimbali za msingi kuhusu uchaguzi ndani ya Jumuiya. Pia wamejadili juu ya hali ya amani na usalama, uchumi na maendeleo ya Jamii ambapo Kamati imeipongeza Serikali ya Awamu

Soma zaidi

Umoja Wa Vijana Wa CCM(UVCCM) Kuendeleza Chuo Chake Cha Ihemi.

Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam   Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) umesema utakifufua na kukiendeleza Chuo cha Siasa, Uongozi na Ujasiriamali kilichopo Ihemi Mkoani Iringa kwa lengo la kuwapika, kuwafundisha na kuwaandaa kiujuzi na kisaikolojia vijana kwa kuwapatia  stadi za maisha ili kujitegemea kiuchumi na kujiajiri.   Aidha Umoja huo umesisitiza

Soma zaidi

Taarifa Iliyotolewa Na UVCCM Kuhusu Maoni Ya Rais Mstaafu Wa Awamu Ya Pili Mzee A.H.Mwinyi 

VMM/U.80/8/Vol.I/62                  30/06/2017 TAARIFA ILIYOTOLEWA NA UMOJA WA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (UVCCM) KWA VYOMBO VYA HABARI, IJUMAA30 JUNI 2017 UVCCM UPANGA, DAR ES SALAAM Ndugu Waandishi wa Habari, Kwa heshima kubwa tunawashukuru kwa dhati na kwa uungwana wenu wa kuitikia wito wetu wa kuwaomba  kuhudhuria mkutano wetu huu  ili kuzumgumza nanyi kama ilivyo ada na kawaida

Soma zaidi