Home > Fursa > FursaZa Uwekezaji

Akinamama Walima Nyanya Kinyerezi Dar Wajifunza Kilimo Cha Uyoga.

Akinamama wanaojishughulisha na kilimo cha nyanya, spinachi, kabichi na mapapai kutoka Kinyerezi jijini Dar es Salaam wameamua kujifunza pia kilimo cha Uyoga kutoka kwa wenzao wa Bunju ikiwa ni hatua ya kuongeza fursa ya ujasiriamali pamoja na kubadilishana uzoefu.   Wakiongozwa na Dkt. Sophia Mlote, akinamama hao wa kikundi cha Kinyerezi Green

Soma zaidi