Home > Fursa > Taarifa Mbalimbali

Tamko La Kamati Ya Utekelezaji Ya Baraza Kuu La UWT Kilichofanyika Tarehe18/07/2017.

Kamati ya Utekelezaji ya Baraza Kuu la UWT imefanya kikao chake cha Kikatiba tarehe 18/07/2017, ambapo pamoja na mambo mengine ilijadili agenda mbalimbali za msingi kuhusu uchaguzi ndani ya Jumuiya. Pia wamejadili juu ya hali ya amani na usalama, uchumi na maendeleo ya Jamii ambapo Kamati imeipongeza Serikali ya Awamu

Soma zaidi

Rais Dkt Magufuli Ashtukia Ubadhirifu Wa Sh42 Bilioni Pembejeo Za Kilimo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameshtukia ubadhirifu wa Sh42 bilioni kwenye fedha za pembejeo za kilimo baada ya kuelezwa kwamba Serikali inadaiwa Tsh 50bilioni, lakini baada ya uhakiki kwenye mikoa 11 ilibainika madai halali ni Sh8 bilioni. Alisema Serikali itafanya uhakiki nchi nzima kwenye fedha

Soma zaidi